HOSTEL

Talem Academic Training Centre Inatoa hostel kwa Wanafunzi wote wa jinsia Zote(Wakike na Wakiume)Kwa garama ndogo tu.

GHARAMA ZA HOSTEL
#Vyumba Maalum Tsh 50,000/=@Mwezi
-Idadi Ya Watu chumbani ni Wawili(2) tu.

#Vyumba vya kawaida Tsh 30,000/=@Mwezi
-Idadi ya watu chumbani ni Wanne(4) Tu.

*Chakula na Godoro ni juu ya Mwanafunzi
*Umeme na Maji Ni Buree .
                             KARIBUNI               KARIBUNI                      KARIBUNI